SCHOLARSHIP

Chuo cha afya, MOUNT UKOMBOZI HEALTH SCIENCES TRAINING CENTRE kilichopo Kinondoni Dar es salaam
katika kuadhimisha miaka mitano ya kutoa elimu katika sekta ya afya,inatoa nafasi na PUNGUZO LA ADA na UFADHILI (Partial Sponsorship )
katika kozi ya

DIRECT DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY NA UPGRADING DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY kwa  wanafunzi wenye sifa za kujiunga. 
NAFASI YA KUHAMIA NTA 4,5,6 ZIPO NA  UTAPUNGUZIWA ADA

Jinsi ya kutuma maombi ya kupata ufadhili (Partial Sponsorship)bonyeza hapa www.mountmkombozi.shamwa.co.tz

Tuma kwenye magroup mengine kwa kadri uwezavyo ili kuwapa Watanzania nafasi na fursa hii adimu.