MAONYESHO YA MAWASILIANO

Maoesho ya Mawasiliano Tanzania tar 15 hadi 17 Nov 2018 ..
*Karibu ujipatie bidhaa mbalimbali za mawasiliano na mitandao kwa bei ya punguzo kama vile, simu, computya ,,accessories na n.k
*Njoo ujionee ubunifu wa mifumo ya kiteknolojia kutoka kwa vijana wa kitanzania.
* Njoo ufahamu sera mbali mbali za mawasiliano na mitandao kutoka TCRA.
*Badilishana mawazo na wanavyuo mbali mbali kutoka vyuo vya Dar es salaam kuanzia level ya cheti hadi shahada.
HII SIYO YA KUKOSA KWANI HAINA KIINGILIO
(NYOTE MNAKARIBISHWA)