*SkyMkoba App kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu za mapato na matumizi.*
Tumia App ya SkyMkoba kurahisisha utunzaji wa kumbukumbu za kifedha, App hii inaweza kutumiwa na makundi mbalimbali:
*Mtu binafsi:* ni muhimu kutumia katika matumizi yako ya kila siku, hii itakusaidia kujua kiasi cha fedha unayoitumia kama kinalingana na kipato chako.
*Mjasiriamali:* Kutunza kumbukumbu za fedha katika miradi yako, hata kama una miradi mingi kwa kutumia SkyMkoba utaweza kujua mradi gani unaingiza fedha zaidi katika wiki, mwezi na hata mwaka.
*Mfanyabiashara:* Kuhifadhi kumbukumbu za mauzo na manunuzi yako, hivyo utaweza kujua faida yako katika sehemu zote za biashara zako.
*Taasisi:* Kuhifadhi taarifa za kifedha, na hivyo management itaweza kujua mzunguko wakifedha ndani ya taasisi.
*Vikundi vya kukuopeshana na kuchangiana (VICOBA)*: kuongeza uaminifu na uwazi katika kikundi, kwani kila mwanakikundi atakuwa anaona kila fedha inayoingia na kutoka kwenye kikundi.
Kupakua App hii bofya hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.a2daysky.wallet
Au tembelea www.skymkoba.com .
Kwa msada zaidi wasiliana nasi kwa namba 0787847805