IJUE FAIDA YA MLONGE

Assalaam Alaykum.
*MIMBA KUTOKA MARA KWA MARA (RECURRENT MISCARRIAGE)*
Mimba kutoka mara kwa mara ni tatizo linalotokea kwa wajawazito ambapo mimba tatu au zaidi ambazo ni chini ya wiki 20 zimewahi kutoka. Hujulikana kama 'recurrent miscarriage' au 'recurrent pregnancy loss'. Karibu asilimia moja ya wanawake wenye uzazi hukumbwa na tatizo hili. Hatari ya tatizo hili kutokea huongezeka kadri umri wa mwanamke unavyoongezeka.
*SABABU ZA MIMBA KUTOKA MARA KWA MARA*
Kuna sababu mbalimbali za mimba kutoka mara kwa mara, asilimia 50 ya mimba kuharibika haijulikani sababu. Baadhi ya sababu zinazojulikana zinajumuisha:
- Matatizo ya mji wa mimba ya kuzaliwa nayo (congenital malformation). Kizazi huwa hakina umbo au nafasi ya kutosha kuruhusu mtoto akue mpaka kuzaliwa.
- Vivimbe vya mji wa uzazi (Uterine Fibroids)
- Shingo ya Uzazi kulegea (Cervical Incompetence). Kadri mimba inavyokua, shingo ya uzazi hushindwa kuhimili na hivyo mimba hutoka.
- Kushikana kwa kuta za mji wa mimba. Hujulikana kama (Asherman’s Syndrome).
- Kisukari
- Ugonjwa wa vivimbe vya ovari (Poly-cystic Ovarian Syndrome)
- Kuvuta sigara na unywaji wa pombe
- Upungufu wa homoni ya tezi shingo (Hypothyirodism)
- Ugonjwa wa (Thrombophilia).
- Vichochezi kutokaa vizuri (Hormonal Imbalance)
- Kuna Imani na imethibiti kuwa kuna sababu za kishirikina (Uchawi) Au (Jini) zinapelekea mimba kuharibika kila ifikapo mwezi wa 3 na wengi wamepata usaidizi kwa kutafta tiba mbadala ya Dini kutatua tatizo hili.
*DALILI ZA MIMBA KUTOKA*
Mara nyingi tatizo hili hutokea hasa mimba ikiwa bado changa, dalili zikijionesha wiki ya 10 au kuendelea kidogo. Mimba inayofuata kuharibika huwa katika wastani wa umri uleule wa mara ya kwanza au chini ya hapo kidiogo. Dalili kuu huwa;
- Kutokwa na damu ukeni
- Maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu na kiunoni
- Kutoa uchafu au sehemu ya mimba iliyoharibika.
- Wakati mwingine homa na kutapika vinaweza kuambatana na dalili hizo.
*UCHUNGUZI NA VIPIMO*
Unapopata dalili zinazoashiria tatizo hili wahi uonane na daktari. Uchunguzi na vipimo hufanyika ilii kuweza kugundua chanzo cha tatizo hili. Ingawa mara nyingine inakuwa ni ngumu kujua chanzo halisi cha tatizo, hii isikukatishe tamaa.
*MATIBABU*
Tatizo hili huleta msongo wa mawazo na kukatisha tamaa kwa wenza wanaopitia hili. Ni muhimu kushirikia na kutiana moyo kwa karibu.
Karibu robo tatu ya wanawake wanaopata tatizo hili hupata ujauzito wa kawaida bila matibabu yoyote.
Baada ya vipimo na uchunguzi na cahnzo cha tatizo kujulikana, basi linaweza kutibiwa kisha tatizo likaisha. Matibabau yanaweza kuhusisha;
- Dawa (za hospitali au tiba mbadala)
- Upasuaji
- Kushona shingo ya uzazi kama imelegea (cervical cerclage)

*JEE, UNA TATIZO LA MIMBA KUHARIBIKA MARA KWA MARA?*
Kama una tatizo hili na umeshindwa kulipatia ufumbuzi, wasiliana nasi

*Kwa Tiba ya Maradhi mbali mbali kama... Kansa. Kupooza. Matatizo ya Uzazi aina Zote. Kwa wale walio Athiriwa na Masturbation/Punyeto. Majini/mashetani aina zote. Uchawi/Sihri aina zote. Minyoo aina zote. Presha aina Zote. Uvimbe ktk kizazi/Mayoma/Fibroids. Pumu/kifua. Vidonda vya tumbo nk...*
Huna budi kuwasiliana Nasi...
*Au fika Ofisini Magomeni Mwembe Chai mtaa wa Zinga.. Sinza/Tandale Uzuri Road. Kituo cha daladala kinaitwa Nursery karibu na kituo cha Popo Bawa.*
Kwa Mawasiliano:
*By. Dr. Bihizi*
+255715524946
+255787524946
+255767524946
*Insta&Fb*
Mchara Gwanya
*FACEBOOK*
Sungu bwida
Lwanga mbimbi
Nyagata kadyege
*E-mail*
Mcharagwanya@gmail.com

Comments