Happy birthday part

*BIRHDAY PARTYπŸŽ‚πŸŽ‚na GRADUATION PARTYπŸŽ“πŸ‘¨‍πŸŽ“(Kwa Pamoja).*

 *Siku ya tarehe 17 jumamosi hii kutakua na Birthday PartyπŸŽ‚πŸŽ‚ ya Cheupe na Graduation PartyπŸŽ“πŸ‘¨‍πŸŽ“ ya Pino ambazo zitafanyika pamoja katika ukumbi wa The Jonz uliopo Magomeni. Pia kutakua na show ya live band kutoka kwa Twanga Pepeta na kuna wasanii wa bongo fleva wataoimba na kutumbuiza wasanii hao watakaokwepo ni Tox Star, Poydady, Yayoh, Cryboy Wizzy, Traibo, Kim Nana Khey na wengine wengi pia kutakua na suprise za kutosha. Baada ya kuangalia live band kutoka kwa Twanga Pepeta na baada ya kuangalia show kutoka kwa wasanii wote tunaamia club ambayo ipo humo humo kucheza mziki. Mda ni kuanzia saa 3 mpaka majogoo. Karibuni sana wanagroup wa Teen Tz na Star Oline mje tukate kekiπŸŽ‚ ya Cheupe na kekiπŸŽ‚ ya Pino kwa pamoja mje kutusapport na kusheherekea pamoja nasi marafiki zenu na wanagroup wenzenu. Kutakua na kiingilio cha Shilingi 5000 tu yaani kwa elfu 5 tu yako unapata burudani kibao*

 *BY MAADMN*
 *Poydady* ~> *Star Online*
 *Pino* ~> *Teen Tz*
 *Cheupe* ~> *Star Online*
 *Shebby* ~> *Teen Tz*
 *Mboggo* ~> *Star Online*
πŸŽ‚πŸŽ‚πŸ‘¨‍πŸŽ“πŸŽ“πŸΎπŸΎπŸ·πŸ·πŸ₯ƒπŸ₯ƒπŸΉπŸΉπŸ»πŸ»πŸΊπŸΊπŸ₯‚πŸ₯‚

Comments