CHEKA KAMA UNA MBAVU

*Nilikua nimetulia kwangu Mara ghafla nikasikia mayowe kwa jirani majirani wote tukatoka kwenda kumsaidia mwenzetu huku tumejiami na mawe,marungu,mapanga yaani silaha zote tulipo ingia kwake tulimkakuta chatu mkubwa ajabu hapo tukitafakari jinsi ya kumuua Mara ghafla bin vuu umeme ukazima mtaa mzima...malizia story manake hapa nipo hospitali nimeshonwa nyuzi kumi kichwani manake kila ulie mgusa alikua anakufumua tu hata sijui niligongwa na nini*
🤣🤣🤣😆😆😆🤣🤣🤣

Comments