BUSINESS SOLUTIONS

*USAJIRI WA KAMPUNI, JINA LA BIASHARA NCHINI TANZANIA NA KUTENGENEZA BUSINESS PROFILE*

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
*DILEX BUSINESS SOLUTION inakuletea Huduma bora ya kuweza kufungua kampuni yako* Tanzania, kutengeneza business profile.
Ofisi zetu zipo dar es salaam eneo la Kisota-Kigamboni, Popote pale ulipo ndani ama nje ya mkoa wa dar es salaam, tunaweza kukufikia na kufanikisha huduma hii kwako. Kufanya biashara kama kampuni kuna faida kubwa sana sana ukilinganisha na mifumo mingine ya uendeshaji wa biashara.

*NIFANYEJE NIWEZE KUSAJIRI KAMPUNI?*
Tunachohitaji kutoka kwako ni:-
~> Jina la Biashara au kampuni unalotaka kufungua,Kwa upande wa kampuni tutumie majina ya wa mmiliki wa kampuni hiyo (yaani shareholders).

~>> Vitambulisho vya Taifa(NIDA) vya wamiliki wa kampuni hiyo (yaani shareholders)

~>> TIN ya kila mmiliki wa kampuni hiyo (yaani shareholders)

~>> Anuani ya makazi ya kila mmliki wa kampuni hiyo (yaani shareholders).

~>> Pia tuelezee ni biashara gani unataka kuzifanya chini ya hii kampuni yako. Uzuri wa kuwa na kampuni ni kwamba unaweza ukafanya biashara tofauti tofauti chini ya kampuni hiyo moja.

Baada ya kutupatia hayo maelezo tutaenda kukuandalia Memorandum and Article of Association itakayo endana na kampuni yako, kisha tutakupatia na kukuelekeza kurasa zipi unazotakiwa kusaini.
kama unapatikana dar es salaam basi tutakuja kukuona ama utafika hapa ofisini kwetu, kwa wale ambao mpo nje ya dar es salaam mtatutumia kwa njia ya E-mail, Basi au Posta.
Baada ya hapo tuta submit kazi yako katika ofisi za brela kwa hatua ya usajiri na kufuatilia mchakato mzima mpaka cheti chako kinatoka,Baada ya cheti chako kutoka tutakujulisha na kukutumia popote pale ulipo.

*GHARAMA ZA MALIPO*
Malipo yetu ni ya awamu, Gharama zetu za kazi nzima pamoja na  ya BRELA ni Nafuu sana sana, Kama una wazo la kufanya biashara hapa Tanzania na ungependa kumiliki kampuni yako au jina la biashara, ukihitaji ushauri wa Biashara, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi juu ya huduma zetu Tucheki 0716762015.

*Thanks
Contact us DILEX BUSINESS SOLUTION
FACEBOOK PAGE: Dilex international
FACEBOOK PAGE: MAKI inspire
Tell phone No: 0716762015
WHATSAPP :0716762015
E MAIL:thedon9t@gmail.com
Instagram: Dilex international